Habari za Punde

Spika BLW akutana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid akifurahia Jambo na Mgeni wake Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Eala Mhe Martin Ngoga wakati walipokutana kwa ajili ya kufanya mazungumzo hivi karibuni alipokuja Zanzibar kwa ajili ya kushiriki Sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.