Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA KUPANDA MITI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiongoza viongozi mbalimbali, wananchi na wanafunzi katika zoezi la kupanda miti eneo la barabara ya Chimwaga - St. Peter Claver mkoani Dodoma ikiwa ni utangulizi katika kuzindua Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na washiriki wa zoezi la upandaji miti lililofanyika eneo la barabara ya Chimwaga -  St. Peter Claver mkoani Dodoma ikiwa ni utangulizi katika kuzindua Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021. Februari 12,2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.