Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani Arusha

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia moja ya ngoma ya utamaduni baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani, lililofanyika katika ukumbi huo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali wa SMZ na SMT, baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha, kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika Mkoani Arusha.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr.Rachel Mongi na kutowa maelezo ya Washiriki wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani waliopima afya zao wakati wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC).(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Vitabu mbalimbali vya Kiswahili vikioneshwa wakati wa ufunganji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha.(AICC) (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Tovuti ya programu ya ufundishaji kiswahili mtandaoni,wakati wa ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani, lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC )  
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitoa hotuba ya kufunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani, lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC )  
WASHIRIKI wa Kongamano  la Idhaa za Kiswahili la Kimataifa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.hussein Ali Mwinyi.
WASHIRIKI wa Kongamano  la Idhaa za Kiswahili la Kimataifa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.hussein Ali Mwinyi.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.