Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ajumuika na Waislamu katika Sala ya Ijumaa Msikiti wa Malindi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj  Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi (katikati) katika makaburi ya wanazuoni mbali mbali waliozikwa katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo alipozuru makaburi hayo kabla ya kujumuika na Waislamu katika Sala ya Ijumaa (kulia) Sheikh Salum Hemed .[Picha na Ikulu] 04/03/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj  Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipozungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu   mara baada ya Sala ya  Ijumaa  katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 04/03/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.