Habari za Punde

Waziri wa Afya akutana na wageni kutoka UNICEF, UNFPA na WHO

Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akimsikiliza Mjumbe kutoka Shirika la UNFPA Mark Schreiner alipofika ofisini kwake Mnazi Mmoja pamoja na Wajumbe wengine kutoka mashirika ya UNICEF na WHO Kuzungumzia maswala ya Afya kwa Vijana ,Elimu Bora na Uzazi salama Zanzibar.
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Wageni wake kutoka Mashirika ya UNICEF,UNFPA naWHO walipofika Ofisini kwake Mnazi Mmoja kuzungumzia maswala ya Afya kwa Vijana Elimu bora na Uzazi salama  Zanzibar.
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Wageni wake kutoka Mashirika ya WHO,UNICEF na UNFPA walipofika Ofisini kwake Mnazi Mmoja Zanzibar
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.