Habari za Punde

Benki ya CRDB Yakabidhi Sadaka ya Futari kwa Vituo ya Watoto Yatima na Nyumba ya Wazee Sebleni Unguja.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Alhaj Zuberi Ali Maulid akimkabidhi Vyakula kwa Mwakilishi wa Nyumba ya Wazee Sebleni Unguja, wakati wa hafla ya Futari maalum iliyoandaliwa na Benki wa CRDB Tawi la Zanzinar, kwa Wateja wa benki hiyo Tawi la Zanzibar iliyofanyika katika viwanja wa Mao Zedung Unguja Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.