Habari za Punde

Hali ya Uchumi na Kupanda kwa Bei ya Bidhaa.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwasilisha taarifa juu ya hali ya uchumi na kupanda kwa bei za bidhaa kwa waandishi wa habari  sambamba na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (hayupo pichani), Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akielza jambo juu ya toa taarifa juu ya kupanda kwa bei za bidhaa wakati wa mkutano na waandishi wa habari akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), Jijini Dar es Salaam.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.