
MBUNGE wa Jimbo la Amani, Mussa Hassan Mussa akitoa Sadaka ya Sikukuu ya Eid El Fitri kwa watu wa makundi mbalimbali katika jimbo hilo ambapo zaidi ya watu 500 wenye uhitaji maalum watafikiwa na sadaka hiyo, hafla hiyo ilifanyika katika ofisi ya jimbo la Amani. Bw. Hassan Ali Muombwa wa Shehia ya kwa Wazee.
MBUNGE wa Jimbo la Amani, Mussa Hassan Mussa akitoa Sadaka ya Sikukuu ya Eid El Fitri kwa watu wa makundi mbalimbali katika jimbo hilo ambapo zaidi ya watu 500 wenye uhitaji maalum watafikiwa na sadaka hiyo, hafla hiyo ilifanyika katika ofisi ya jimbo la Amani. Bw.Ali Makame Haji wa Shehia ya kwa Wazee.
No comments:
Post a Comment