Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mhe. Vicky Ford, Waziri anaeshuhulikia masuala ya Afrika nchini Uingereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya picha yenye muonekano wa mlima wa Kilimanjaro Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Aprili, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.