Mwenyekiti wa kamati ya Habari Zanzibar Farouk Karim akizungumza na waandishi wa habari huko Ukumbi wa Skuli ya Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Kilimani kuhusu maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Habari duniani yanayotarajiwa kufanyika mei 22 katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul-wakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Massoud Othman anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo.
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali Zanzibar wamkisikiliza Mwenyekiti Kamati ya Habari Zanzibar Ndg.Farouk Karim akizungumza na kutoa taarifa ya kukamilika kwa maandalizi ya maadhimishi ya Siku ya Habari Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa wiki ijayo katika ukumbi wa mikutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar.
Picha na Fauzia Mussa -Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment