Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Ametoa Mkono wa Eid El Fitry kwa Wananchi Katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupokea mkono wa Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo iliyofanyika jana 3-5-2022.
Wananchi wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar walipofika kupokea mkono wa Eid El Fitry kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Wananchi husherehekea Sikukuu ya Eid katika viwanja mbalimbali vya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Watoto na kutowa Mkono wa Eid El Fitry waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.