Habari za Punde

Uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa Watoto Chini ya Umri wa Miaka 5 Yazinduliwa leo Zanzibar Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akimpa Chanjo ya Polio Mtoto Saqibu Said Ayubu ikiwa ni Ishara ya Uzinduzi wa Chanjo hio hafla iliofanyika katika Mkoa wa Kaskazini A Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Hemed Suleiman Abdulla akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa Watoto Chini ya Umri wa Miaka mitano iliofanyika katika Mkoa wa Kaskazini A Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Zanzibar.
Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa Watoto wenye umri chini ya miaka Mitano Uliofanyika katika Mkoa wa Kaskazini A Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa Watoto wenye umri chini ya miaka Mitano Uliofanyika katika Mkoa wa Kaskazini A Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Zanzibar.
Muakilishi kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO)DK Undermaiko akizungumza katika katika hafla ya Uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa Watoto wenye umri chini ya miaka Mitano Uliofanyika katika Mkoa wa Kaskazini A Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Zanzibar.
Mkurugenzi Kinga Dk,Ali Saidi Nyanga akitoa taarifa juu ya Chanjo ya Polio katika hafla ya Uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa Watoto wenye umri chini ya miaka Mitano Uliofanyika katika Mkoa wa Kaskazini A Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Zanzibar.
Baadhi ya Wazazi waliofika na Watoto wao katika hafla ya Uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa Watoto wenye umri chini ya miaka Mitano Uliofanyika katika Mkoa wa Kaskazini A Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.