Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Aongoza Kikao cha Wadau wa Zao la Kahawa Mkoani Kagera.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Kagera wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba  kuongoza Kikao cha Wadau wa  zao la Kahawa kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde katika  Kikao cha Wadau wa zao la Kahawa alichokiongoza kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha Wadau wa zao la Kahawa alichokiongoza kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba.

Baadhi ya washiriki wa Kikao cha Wadau wa zao la Kahawa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipoongoza kikao hicho kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba,
Baadhi ya washiriki wa Kikao cha Wadau wa zao la Kahawa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipoongoza kikao hicho kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba,
Baadhi ya washiriki wa Kikao cha Wadau wa zao la Kahawa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipoongoza kikao hicho kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Mei 15, 2022.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.