Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akifungua Kongamani la Mahkama za Kikanda za Kataifa Barani Afrika Katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)  akisalimiana na Jaji wa Mahkama ya haki wa za Binadamu  Jaji Imani D. Daudi (katikati) wakati alipowasili katika Viwanja vya Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar Kufungua Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani  Afrika.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Jaji wa Mahkama ya haki wa za Binadamu  Jaji Imani D. Daudi (katikati) wakifuatana na Viongozi wengine wakielekea katika Ukumbi wa Mikutano katika Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar Kufungua Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani  Afrika.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati Wimbo wa Taifa kabla ya Ufunguzi wa Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani  Afrika,leo katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar, (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akihutubia katika mkutano wa ufunguzi wa Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani  Afrika,katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar, (kutoka kulia) Jaji wa  Mahkama ya haki  Afrika Mashariki Mhe,Jaji Nestor Kayobera,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheri,Utumishi wa Umma na Utawala Bora mhe,Haroun Ali Suleiman na Jaji Mkuu Mteule Mhe.Jaji Khamis Ramadhan Abdalla. 
Baadhi ya Washiriki katika Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani  Afrika,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akitoa hutuba yake   ya Ufunguzi aliyoitoa leo  kwa washiriki hao katika  ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar
Jaji wa  Mahkama ya haki  Afrika Mashariki Mhe,Jaji Nestor Kayobera alipokuwa akisema machache na kumkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  Kufunguwa  Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani  Afrika, hafla iliyofanyika leo katika  ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar
Baadhi ya Washiriki katika Kongamano la Mahkama za Kikanda na Kitaifa Barani  Afrika,wakisikiliza kwa makini hotuba ya Ufunguzi iliyotolewa  na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika  ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar leo.
 [Picha na Ikulu] 27/06/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.