Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ashuhudia Utiaji wa Saini ya Makubaliano ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisimama na Baadhi ya ya Ujumbe wa  Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE) wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa wakati wa hafla ya utiaji saini Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi hiyo  katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE)hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar,wanaotia saini  (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt.Juma Malik Akili na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Nd,Hamad Bin Kurdous Al-Amry (kushoto) 
Baadhi ya Viongozi wakipongeza baada ya kushuhudia utiaji saini wa Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE)hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar,ambapo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alishuhudia saini hiyo 
Mawaziri na Baadhi wa Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi ni miongoni mwa walioshuhudia utiaji saini wa Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE),ambapo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alishuhudia saini hiyo leo katika  Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
[Picha na Ikulu] 27/06/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.