Habari za Punde

Vikundi vya Kuweka na Kukopa Zanzibar Wakabidhiwa Vyakabidhiwa Baskeli na Visanduku Kupitia Mradi wa PDF.

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Mhe. Shamata Shaame Khamis amekabidhi baskeli 30 pamoja na visanduki 30 Kwa vikundi vya kuweka na kukopa vinajishihulisha kutoka Shehia mbali mbali za Zanzibar kupitia Mradi wa PDF.Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Mhe. Shamata Shaame Khamis amekabidhi baskeli 30 pamoja na visanduki 30 Kwa vikundi vya kuweka na kukopa vinajishihulisha kutoka Shehia mbali mbali za Zanzibar kupitia Mradi wa PDF.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.