ZOEZI la kusaka vipaji 'Scouting' kwa wachezaji wa umri wa miaka 20 ( U-20) limeaza rasmin jana katika Uwanja wa Amaan Unuja Wilaya ya Mjini, ambalo litadumi kwa siku 3 mfululizo na vijana wengi wamejitokeza kushiriki zoezi hilo kuwania nafasi hiyo zaidi ya Timu 30 zimejitokeza kuwani kupata nafasi ya vijana wao kupata nafasi hiyo.
Zoezi hilo lililoandaliwa na Afrisoccer kwa kushirikiana na Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar kupitia ZFF.
No comments:
Post a Comment