Baadhi ya Boti za Uvuvi na Wakulima wa Mwani Mkoa wa Kaskazini Pemba zilizotolewa Mkopo Nafuu bila Riba kutoka Bebki ya CRDB. kwa Vikundi vya Ushirika katika Mkoa huo zikiwa na naza zake Sote za Uvuvi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hundi ya Milioni Mia Mbili na
Kumi na Laki Nane Mwenyekiti wa Kikundi cha Uvuvi cha Kiuyu Mbuyuni
Pemba.Ndg.Hatibu Khamis Faki ikiwa mkopo nafuu uliotolewa na Benki ya CRDB kwa
kikundi hicho, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja Soko la Samaki Tumbe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Boti ya Uvuvi Kiongozi wa Kikundi cha Uvuvi Ndg.Faki
Mpemba Faki, kwa ajili ya Uvuvi wa Samaki, boti hizo zimetolewa mkopo nafuu bila riba na Benki ya CRDB Kwa ajili ya Wajasiriamali wa Uvuvi wa Samaki na Wakulima wa Mwani katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,hafla hiyo iliyofanyika katika
viwanja vya Soko la Samaki Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Tumbe wakati wa
hafla ya kukabidhi Boti kwa Wavuvi wa Samaki na Wakulima wa Mwani wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutembelea
Miradi ya Maendeleo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Tumbe wakati wa hafla ya kukabidhi Boti kwa Wavuvi wa Samaki na Wakulima wa Mwani wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutembelea Miradi ya Maendeleo.
BAADHI ya Vikundi vya Uvuvi Mkoa wa Kaskazini
Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia kabla ya kukabidhi Boti
kwa Wavuvi na Wakulima wa Mwani wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, zilizotolewa kwa
Mkopo nafuu na Benki ya CRDB kwa Vikundi vya Ushirika, hafla hiyo iliyofanyika
katika ufukwe wa Pwani ya Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba.
No comments:
Post a Comment