Watoto wakiwa katika pembea katika viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja leo kama walivokutwa na mpiga piucha wetu wakisherehekea Sikukuu ya Eid Al Haj kwa michezo mbalimbali ya pembea katika kiwanja hicho leo 12-7-2022.
SHULE ZA MSINGI 3 KUJENGWA LUDEWA
-
Na. Damian Kunambi, Njombe.
Kutokana na baadhi ya wananchi wilayani Ludewa mkoani Njombe kuishi katika
maeneo ya pembezoni na kupelekea watoto kutembea ...
33 minutes ago
No comments:
Post a Comment