Maaskofu wa Kanisa Katoliki kutoka nchi mbalimbali pamoja na Wageni wengine wakiwa kwenye maadhimisho ya mkutano wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Julai, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maaskofu kutoka nchi mbalimbali Barani Afrika pamoja na baadhi ya viongozi katika maadhimisho ya mkutano wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsalimia Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Muadhama Kardinali Polycarp Pengo kwenye maadhimisho ya mkutano wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Julai, 2022.
Mgombea Uwakilishi Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la
Jangombe Mhe.Ali Gulam Akishindikizwa na Wananchi wa Jimbo hilo Kuelekea
Ofizi za Tume ya Uchaguzi za Wilaya ya Mjini Kuchukua Fomu ya Uteuzi
Kugombea Uwakilishi
-
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe Mhe. Ali Gulam akiwa na Wagombea
Ubunge na Udiwani wa Wadi za Jimbo hilo wakiwa katika matembezi kuelekea
Ofisi...
6 minutes ago
No comments:
Post a Comment