Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama mbalimbali vya Siasa Kisiwani Pemba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha CUF Kisiwani Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha ADC Kisiwani Pemba tarehe 15 Julai 2022.
                                                                               Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.