RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Wizara ya Afra
Zanzibar Said Ali Bakar, akitowa maelezo ya michoro ya Jengo Jipya la Hospitali
ya Wilaya Kitogani Wilaya ya Kusini Unguja,
wakati wa ziara yake katika Wilaya hiyo kutembelea Miradi ya Maendeleo,
hospitali hiyo inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, na (kushoto kwa Rais) Waziri
wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa
Afya Zanzibar Mhe Hassan Hafidh Khamis.
GCLA INAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KATIKA MAONESHO SABASABA
-
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlakla ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Dkt. Adam Fimbo
(kulia) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Mamlaka ya
Maabara ya ...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment