Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Awasili Pemba kwa Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo leo 25-7-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro Masoud na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Masoud Ali Mohammed,baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba, kuendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mikoa Miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba leo 25-7-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba na kusalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi leo 25-7-2022, akiendelea na ziara yake Pemba kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Taasisi za Serikali Pemba alipowasili Uwanja wa Ndege Chakechake Pemba kwa ziara ya Kikazi kutembelea Miradi ya Maendeleo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Masoud Ali Mohammed leo 25-7-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake  Pemba kuendelea na ziara yake leo 25-7-2022, kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mikoa miwili ya Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kuendelea na ziara yake leo 25-7-2022.
VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Pemba wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba wakati wa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipowasili Uwanja Ndege Chakechake Pemba,kuendelea na ziara yake Pemba leo 25-7-2022, katika Mikoa Miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.