Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Asoma Hotuba ya Kuahirisha Bunge Dodoma.

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akienda mbele ya wabunge kusoma  hotuba  ya kuahirisha  Mkutano wa 7 wa Bunge la 12, bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba  ya kuahirisha  Mkutano wa 7 wa Bunge la 12,  bungeni jijini Dodoma, Juni 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.