Habari za Punde

Jumuiya ya FAWE yazungumza na wajasiriamali wa kilimo cha mwani Mkoa wa Kaskazini Unguja

Wajasiriamali wa kilimo cha mwani kijiji cha Nungwi Bandakuu wakimsikiliza Afisa Mipango   Hidaya Khatib Ame kutoka Jukwaa la waelimishaji wanawake Zanzibar wakati alipokuwa akizungumza  wajasiriamali hao  Bandakuu Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Afisa Mipango   Hidaya Khatib Ame kutoka Jukwaa la waelimishaji wanawake Zanzibar  (FAWE) akizungumza na wajasiriamali wa kilimo cha mwani mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa skuli ya Kigunda Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Baadhi ya Wanafunzi wa skuli ya Kigunda wakiwa juu ya majiti yaliyogeswa katika mti uliyopo skulini hapo kuashiria hatari.


Wajasiriamali wa kilimo cha mwani kijiji cha Kigunda  wakimsikiliza Afisa Mipango Hidaya Khatib Ame hayupo pichani kutoka Jukwaa la waelimishaji wanawake Zanzibar  (FAWE) wakati alipokuwa akizungumza na wano huko skuli ya Kigunda Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.