Habari za Punde

Makamu wa kwanza wa Rais ajumuika na waumini katika Sala ya Ijumaa Masjid al Iman, amjuulia hali Raza

 

Makamu wa kwanza wa Rais Mhe Alhaj Othman Masoud Othman leo Agosti 26, 2022 amejumuika na waumini mbali mbali wa dini ya kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika Masjid Al Iman uliopo Kibweni, Mkoa wa mjini Magharibi
Makamu wa kwanza wa Rais Mhe Alhaj Othman Masoud Othman leo Agosti 26, 2022 akisalimiana na waumini mbali mbali wa dini ya kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika Masjid Al Iman uliopo Kibweni, Mkoa wa mjini Magharibi
Makamu wa kwanza wa Rais Mhe Alhaj Othman Masoud Othman leo Agosti 26, 2022 amemjuulia hali Mwakilishi mstaafu wa Jimbo la Uzini Mhe Mohammed Raza Hassanali, huko nyumbani kwake Kibweni Mshelishelini Wilaya ya Magharibi A kisiwani Unguja
Makamu wa kwanza wa Rais Mhe Alhaj Othman Masoud Othman leo Agosti 26, 2022 akiitikia dua wakati alipofika nyumbani kwa Mwakilishi mstaafu wa Jimbo la Uzini Mhe Mohammed Raza Hassanali, huko nyumbani kwake Kibweni Mshelishelini Wilaya ya Magharibi A kisiwani Unguja

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.