Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Wageni Mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mhe. Amir Abdlollahian aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mhe. Amir Abdlollahian aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi ya picha Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mhe. Amir Abdlollahian mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mhe. Amir Abdlollahian mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa maziwa makuu Mhe. Huang Xia mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye maziwa makuu Mhe. Huang Xia mara baada ya mazungumzo Ikulu Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.