Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika Matembezi ya Amref Wogging Marathon ya Kilomita Tano yalioazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkaazi wa Amref Tanzania Dr. Florence Temu na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakipita katika mitaa ya muembeladu wakielea Uwanja wa Amaan kumalizia matembezi hayo ya Amref Wogging Marathon.
Tunduru: Viuatilifu kuongeza uzalishaji wa Korosho Tunduru
-
Tunduru-Ruvuma.
Baadhi ya wakulima wa zao la korosho katika Tarafa ya Nakapanya Wilaya ya
Tunduru Mkoani Ruvuma,wamepongeza mpango wa Serikali wa kutoa b...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment