Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo
kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II (96) wa Uingereza aliyefariki tarehe 08
Septemba, 2022 nchini Uskochi. Mhe. Rais Samia alisaini Kitabu hicho katika
Makazi ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Oysterbay Jijini Dar es Salaam
tarehe 09 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II (96) wa Uingereza aliyefariki tarehe 08 Septemba, 2022 nchini Uskochi. Mhe. Rais Samia alisaini Kitabu hicho katika Makazi ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Septemba, 2022.
No comments:
Post a Comment