Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Awasili London Nchini Uingereza kwa Ajili ya Kuhudhuria Mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Luton Uingereza kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II,Balozi wa Tanzania nchini humo Dkt. Asha-Rose Migiro na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege 17-9-2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi wa Tanzania nchini humo Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Luton tarehe 17 Septemba, 2022 kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza yatakayofanyika tarehe 19 Septemba, 2022 Jijini London. 

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.