Habari za Punde

Tanzania Yashiriki Mkutano wa Maswala ya Hali ya Hewa na Usimamizi wa Maafa Kusini Mwa Afrika

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene  katika picha akiwa katika Mkutano unaolenga  namna ya kuchukua Tahadhari za Mapema katika hatua za Kudhibiti Majanga.
Washiriki wa Nchi Mbalimbali  wakiwa katika Mkutano unaofanyika Mjini Maputo Nchini Msumbiji.
Na Mwandishi wetu                                                                                                                   

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) uliolenga kuhusu namna ya kuchukua tahadhari za mapema katika hatua za Kudhibiti Majanga.

Mkutano huo wa siku mbili ulioanza tarehe 08-09/092022 umedhaminiwa na UN World Materological Organisation na unafanyika Mjini Maputo Nchini Msumbiji Mkutano huo umetanguliwa na Mkutano wa wataalamu wa maswala hayo ulioanza 05-07/09/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.