Habari za Punde

DKT. MWIGULU NCHEMBA ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA MILLENIUM CHALLENGE CORPORATION (MCC) JIJINI WASHINGTON D.C MAREKANI

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza jambo alipoongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na Makamu wa Rais wa Shirika la Changamoto ya Milenia (Millenium Challenge Corporation (MCC), anayesimamia masuala ya Sera na Tathimini, Mhe. Alicia Philips, Jijini Washington D.C nchini Marekani. Kushoto kwa Mhe. Dkt. Nchemba ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum (Mb) na kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Elsie Kanza, na viongozi wengine kutoka Wizara ya Fedha na Mipango

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum (Mb), wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Shirika la Changamoto ya Milenia (Millenium Challenge Corporation (MCC), anayesimamia masuala ya Sera na Tathimini, Mhe. Alicia Philips, Jijini Washington D.C, Marekani.
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa tatu kushoto) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum (Mb) (wa pili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Shirika la Changamoto ya Milenia (Millenium Challenge Corporation (MCC), anayesimamia masuala ya Sera na Tathimini, Mhe. Alicia Philips (wa tatu kulia), Jijini Washington D.C, Marekani. Kulia ni Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Rished Bade.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango, Washington D.C, Marekani)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.