Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto Zawadi ya Picha ya
kumbukumbu mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba,
2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati walipokuwa
wanazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo
na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, mara
baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo
na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, mara
baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe
wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe.
Dkt. William Samoei Ruto pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto mara baada ya kuhitimisha
ziara yake ya kikazi ya siku 2 Jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment