Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aufungua mkutano wa 7 wa Pan African Humanitarian &Investment Summit Zanzibar 2022

WASHIRIKI wa Mkutano wa “7TH  Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” leo 8-11-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano wa “7TH Pan African Humanitarian &Investment Summit Zanzibar 2022” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” leo 8-11-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum kutoka Serikali ya Seychelles akikabidhiwa na Rais Mstaaf wa Seyshelles Mhe.Danny Faure, wakati wa ufungfuzi wa mkutano wa “7th  Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja  Wilaya ya Magharibi “B” leo 8-11-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya  mfano wa Samaki na Balozi wa Heshima wa  Seychelles Nchini Tanzania Mhe.MaryVonne Pool, baada ya kuufungua wa mkutano wa “7TH  Pan African Humanitarian &Investment Summit Zanzibar 2022”, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” leo 8-11-2022.(Picha na Ikulu)
 
1 comment:

  1. Thanks to the organisers, it was a very insightful event. Africa is today's future. #blueeconomy

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.