Habari za Punde

Ujenzi wa Jengo Jipya la Msikiti wa Kilimani Unguja Ukiendelea Jijini Zanzibar

Ujenzi wa jengo jipya la Msikiti wa Kilimani Unguja Jijini Zanzibar ukiendelea na ujenzi wake kama unavyoonekana pichani.


Hivi ndivyo utakavyokuwa baada ya kukamilika ujenzi huo wa jengo jipya la Msikiti wa Kilimani Unguja Jijini Zanzibar 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.