Habari za Punde

Chongolo Aanza Ziara Mkoani Morogoro

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Ndugu Shaka Hamdu Shaka (kushoto) wakati wa mapokezi wilayani Gairo ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu na wajumbe wa Sekretarieti mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Gairo Ndugu Ahmed Shabiby wakati wa mapokezi wilayani Gairo ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu na wajumbe wa Sekretarieti mkoani Morogoro.
(Picha na CCM Makao Makuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.