Habari za Punde

Hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata, Emirates Leisure Retail na Segap katika Jengo Jipya la Terminal 3

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, alipowasili katika viwanja vya Jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ajili ya hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap, Jengo jipya la Terminal 3 leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo Jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap,Jengo la Terminal 3 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi  na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakitembelea Jengo Jipya la Terminal  3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap, Jengo la Terminal 3, uzinduzi huo uliyofanyika leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Bw. Javed Jafferji, wakati wakitembelea Duka lake la Recycle Zanzibar katika jengo la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,wakati wa hafla ya Ufunguzi wa huduma  za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika  jengo jipya la Terminal 3 leo 26-1-2023.(kulia kwa Mama Mariam Mwinyi) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Bi.Kulsum Jafferji.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, uzinduzi huo uliofanyika leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya Uzindua Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo la jipya la Termanal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar  ya wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, uliofanyika leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
WAFANYAKAZI wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar wakishangilia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata, Emirates Leisure Retail na Segap katika Jengo Jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi maalum na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiashiria kukata Keki kuzindua Huduma za Viwango vya Kimataifa Jengo la Jipya la Terminal 3 na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirates Leisure Retail na MMI Bw.Steven Allen, uzinduzi huo umefanyika leo katika jengo Jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,uzinduzi huo ulioyofanyika leo 26-1-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid.Salum Mohammed wakati akiondoka katika eneo la jengo la Terminal 3, baada ya kumalizika kwa hafla Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 iliyofanyika leo 26-1-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.