Kikosi cha Timu ya Malindi kinachoshiriki Michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar , katika mchezo wao wa ufunguzi wa michuano huo ilimetoka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Timu ya Jamhuri, mchezo uliyofanyika jana usiku 1-1-2023 katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Timu ya Jamhuri kinachoshiriki Michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, katika mchezo wao wa Ufunguzi wamekubali kichapo cha bao 2-0 dhidi ya Timu ya Malindi katika mchezo wao wa ufunguzi uliyofanyika jana usiku 1-1-2023 katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment