Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi Amekabidhi Vifaa vya Kilimo cha Mwani Micheweni

Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (wa pili kushoto) akimkabidhi Boti,Mashine,Kamba pamoja na vifaa mbali mbali Katibu wa kikundi cha  IPO Sababu -Tumbe Bi.Kaije Said Bakari na Bikombo Rashid Ali  (kulia) wakati wa hafla ya ugawaji  wa Vifaa mbali mbali vya kilimo cha mwani kwa vikundi vya Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia)
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF"(katikati) akikabidhi Boti na Vifaa vya ukulima wa mwani kwa Katibu wa kikundi cha Tumaini Micheweni Ndg,Mtumwa Adalla Hamadi (wa pili kulia) wakati wa hafla ya ugawaji  wa Vifaa hivyo kwa vikundi vya Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Afisa Mdhamini wa Uchumi wa Buluu Ndg.Salum Mohamed Hamza na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF"(kushoto) akimkabidhi Mashine ya kusagia mwani Katibu wa kikundi cha Tumaini Micheweni Ndg,Mtumwa Adalla Hamadi (wa pili kulia) wakati wa hafla ya ugawaji  wa Vifaa mbali mbali vya kilimo cha mwani kwa vikundi vya Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Zuhura Kombo Juma.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib wakiimba Wimbo katika hafla ya ugawaji wa Vifaa mbalimbali vya ukulima wa Mwani leo  kwa vikundi vya Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wanaushirika wa vikundi mbali mbali vya ukulima wa mwani leo katika hafla ya ugawaji wa Boti,Mashine na vifaa yengine kwa Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib na Afisa Mdhamini wa Uchumi wa Buluu Ndg.Salum Mohamed Hamza
Wanavikundi vya Ukulima wa Mwani wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) alipokuwa akizungumza nao leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Micheweni wakati wa hafla ya ugawaji  wa Vifaa mbali mbali vya kilimo cha mwani kwa vikundi vya Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba vilivyotolewa na  katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 
Viongozi na Wanavikundi vya Ukulima wa Mwani wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Micheweni wakati wa hafla ya ugawaji  wa Vifaa mbali mbali vya kilimo cha mwani kwa vikundi vya Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba vilivyotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Wanavikundi vya Ukulima wa Mwani wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) alipokuwa akizungumza nao leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Micheweni wakati wa hafla ya ugawaji  wa Vifaa mbali mbali vya kilimo cha mwani kwa vikundi vya Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba vilivyotolewa na  katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  .[Picha na Ikulu]02/01/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.