Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya OCP inayotengeneza Mbolea Dkt. Mostafa Terrab, Dakar Nchini Senegal
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya OCP inayotengeneza Mbolea Dkt. Mostafa Terrab mara baada ya mazungumzo, Dakar Nchini Senegal.jpg)
.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mshauri Maalum wa Kampuni ya Yara Arne Cartridge, Dakar nchini Senegal

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshauri Maalum wa Kampuni ya Yara Arne Cartridge, Dakar nchini Senegal.
No comments:
Post a Comment