Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti wa mkutano wa tano wa Baraza la Taifa la Biashara (katikati) alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti katika mkutano wa tano wa Baraza la Taifa la Biashara alipokuwa akisistiza jambo wakati alipozungumza na wajumbe wa Baraza hilo leo uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar.
Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa ni miongoni mwa wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti wa kikao cha tano cha Baraza hilo uliofantyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara wakipitia kuangalia mada zilizotolewa katika mkutano wa tano wa Baraza la hilo uliofanyika leo chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar.
[picha na ikulu] 22/01/2023.
No comments:
Post a Comment