Habari za Punde

Spika BLW afungua Majengo ya Wajasiriamali Tumbe na kuweka jiwe la msingi wa jengo la uwekezaji, Maghala , kituo cha Ununuzi wa Karafuu na Jengo la Huduma za Kibenki ZSTC Madungu Chake Chake Pemba

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akitoa hutuba baada ya kufungua Majengo ya Wajasiriamali Tumbe yaliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, pamoja na kukabidhi Piki Piki zilizotolewa na Benki ya CRDB ikiwa ni hatua ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kuwawezesha Wananchi wake ikiwa ni katika shamra shamra za kuadhimisha Miaka  59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .


Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa jengo  la uwekezaji, Maghala , kituo cha Ununuzi wa Karafuu na Jengo la Huduma za Kibenki ZSTC Madungu Chake Chake Pemba.ambapo aliambatana na mke wake Mama Warda Zubeir No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.