Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni
wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati akiwasili kwa ajili
ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam. 30Machi, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsindikiza mgeni
wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya Futari Ikulu
Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati wa Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023. Wa kwanza kulia ni Mume wa Makamu huyo wa Rais Douglas Emhoff, Wa kwanza kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango
Makamu
wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris akizungumza na viongozi mbalimbali
katika Futari aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
viongozi mbalimbali wakati wa Futari aliyomuandalia mgeni wake Makamu wa Rais
wa Marekani Mhe. Kamala Harris, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni
wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris pamoja na Mume wa Makamu
huyo wa Rais Douglas Emhoff mara baada ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na
viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa mara baada ya Futari Ikulu Jijini Dar es
Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais
Mstaafu Mhe. Jakaya Kikwete mara baada ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na
viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa mara baada ya Futari Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
No comments:
Post a Comment