RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.
Salmin Amour Juma lipofika nyumbani kwake Migombani Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar kumsalimia na kumjulia hali yake, (kulia kwa Rais) Mtoto wa
Dkt. Salmin Bw. Amini Salmin Amour
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Dkt. Salmin Amour Juma, alipofika nyumbani kwake Migombani Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar kwa kumsalimia na kumjulia hali yake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Dkt.Salmin Amour Juma, baada ya kumaliza mazungumzo alipofika nyumbani kwake
Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kumjulia
hali yake 30-3-2023.
No comments:
Post a Comment