Habari za Punde

Matukeo ya Picha ya Mhe Kassim Majaliwa Bungeni Dodoma leo 28.4.2023

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiwasalimiana na wanafunzi wa shule ya Msingi ya Peace Academy ya Mkoani Arusha, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 28, 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge, Constantine Kanyasu wa Geita Mjini, (Kulia)  Iddi Kassim Iddi wa Msalala (wa pili kulia ) na Mhe. Atupele Mwakibete wa Busokelo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi , bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe na Mhe. Priscus Tarimo wa Moshi Mjini kwenye viwanja vya bunge, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji Jumaa Aweso bungeni jijini Dodoma, Aprili 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.