Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Waumini wa Kiislam katika Ibada ya Sala ya Eid El Fitry Majid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja

SHEIKH Ally Abdulrahaman Al Hilaal kutoka Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, akisoma hutuba ya Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar iliyofanyika leo 22-4-2023, baada ya Waumini wa Dini ya Kiislam kumaliza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ikisoma na Hatibu Sheikh.Ally Abdurahaman Al Hilaal,(hayupo pichani) baada kwa Hutuba ya Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 22-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.Alhajj Othman Masoud Othman.

KADHI Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Othman Hassan Ngwali akisoma dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar iliyofanyika leo 22-4-2023.(kushoto kwake) Viongozi wa Dini na Mabalozi Wadogo Wanaifanyia Kazi zao Zanzibar wakishiriki kuitikia dua.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhajj Dkt. Amani Abeid Karume, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid El Fitry, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 22-4-2023, baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya ”B” Unguja Jijini Zanzibar leo 22-4-2023 na Kushoto kwake) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mussa Mahmoud Wadi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya ”B” Unguja Jijini Zanzibar leo 22-4-2023 na Kushoto kwake) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mussa Mahmoud Wadi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar.Mhe.Said Salim Al Sinawi,  baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya ”B” Unguja Jijini Zanzibar leo 22-4-2023 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.