MSAFARA
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi ukiongozwa na Pikipiki za Jeshi la Polisi Usalama Barabarani ukiwasili
katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya
ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa
ajili ya kulihutubia Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi huo leo
22-4-2023, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala
Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa
Sheikh Idrissa Adulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar,kwa
ajili ya kulihutubia Baraza la Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa
Mwezi Mtukufu wa Ramadhman.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akipokea Salamu ya Heshima kutoka kwa Gwaride Maalum la Jeshi la Polisi Kikosi
cha FFU, baada ya kuwasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhudhuria
Baraza la Eid El Fitry leo 22-4-2023, lililofanyika katika ukumbi huo.

akielekea katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar baada ya kupokea Salamu ya Heshima kutoka Jeshi la
Polisi Kikosi cha FFU na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia
kwa Rais) Kamishna wa Polisi Zanzibar (CP)Hamad Khamis Hamad, wakielekea katika
ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni kwa ajili ya kulihutubia Baraza
la Eid El Fitry leo 22-4-2023, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu
wa Ramadhani.
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar
Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni Rasmin Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
kulihutubia Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia katika Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
22-4-2023, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Baraza la Eid El
Fitry, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil
Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 22-4-2023, na (kulia
kwake)Bi.Jamila Mwinyi na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais
Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhendisi Zena Ahmed Said.
VIONGOZI
wa Serikali na Marais Wastaafu wa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid
El Fitry, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil
Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja leo 22-4-2023, baada ya kumalizika kwa mfungo
wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwatunza Wasomaji wa Qaswida Maalum
iliyoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi
wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika katika kutikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh
Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa hutuba ya Baraza la Eid El Fitry
lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 22-4-2023, baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi
mtukufu wa Ramadhan na (kushoto kwa Mufti) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Hemed Suleiman na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman.
MABALOZI
Wadogo wanaofanyia Kazi zao Zanzibar wakijumuika katika kuitikia dua ikisomwa
na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya
kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na
kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi
BAADHI
ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakijumuika katika kutikia dua
ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani)
baada ya kumalizika kwa hutuba ya Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika
ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil
Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar lililohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi.
VIONGOZI
na Wageni waalikwa wakijumuika katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Baraza
la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil
Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS
Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein akiwasalimia Mawaziri wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakati akiondoka katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya
kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika leo 22-4-2023 katika
ukumbi huo na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
RAIS
Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Dkt.Amani Abeid Karume akiondoka katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya
kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika leo 22-4-2023 katika
ukumbi huo na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na kuagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Dkt.Amani Karume na
Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa
Baraza la Eid El Fitry lililofanyika leo 23-4-2023 katika ukumbi wa
Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment