Mkurugenzi wa Taasisi ya kuwasaidia Wajane Zanzibar Tabia Makame Mohammed akimkabidhi mmoja wa Wanakijiji cha Matemwe Kijini Sadaka ya futari kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Huseein Ali Mwinyi kupitia Taasisi hiyo ikiwa ni muendelezo wa utoaji wa sadaka kwa Wajane ,Mayatima ,Watuwazima na wasiojiweza Unguja na Pemba .April 12,2023.
Mkurugenzi wa Taasisi ya kuwasaidia Wajane Tabia Makame Mohammed akimkabidhi mmoja miongoni mwa Wajane wa Wilaya ya Kaskizini “A” Sadaka ya futari kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Huseein Ali Mwinyi kupitia Taasisi hiyo ikiwa ni muendelezo wa utoaji wa sadaka kwa Wajane ,Mayatima ,Watuwazima na wasiojiweza Unguja na Pemba.
Mkurugenzi wa Taasisi ya kuwasaidia Wajane Zanzibar Tabia Makame Mohammed akimkabidhi mmoja wa Wazee wa Ziwatuwe Sadaka ya futari kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Huseein Ali Mwinyi kupitia Taasisi hiyo ikiwa ni muendelezo wa utoaji wa sadaka kwa Wajane ,Mayatima ,Watuwazima na wasiojiweza Unguja na Pemba
Mkurugenzi wa Taasisi ya kuwasaidia Wajane Tabia Makame Mohammed akimkabidhi mmoja wa Watoto yatima wa kituo cha One Ummah Sadaka ya futari kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Huseein Ali Mwinyi kupitia Taasisi hiyo ikiwa ni muendelezo wa utoaji wa sadaka kwa Wajane ,Mayatima ,Watuwazima na wasiojiweza Unguja na Pemba .April 12,2023.
PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment