Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe.Dkt.Philip Mpango Ampongeza Askofu Mpya Christian Ndossa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimpongeza Askofu Christian Ndossa na msaidizi wake Mchungaji Stanley Tabulu mara baada ya kuwekwa Wakfu na Kuingizwa kazini katika Ibada iliofanyika Kanisa Kuu la KKKT Dayosisi ya Dodoma leo tarehe 07 Mei 2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.