Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Hospitali ya
Mount Meru kuzindua Mfumo wa Kurahisisha Usafiri wa Dharura kwa Mama Wajawazito
na Watoto wachanga wa M- Mama kwa Mkoa wa Arusha

Mpango akiwa na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha
Power wakimsikiliza Anna Kalanju mkazi wa Mbuguni mkoani Arusha aliyetumia
mfumo wa M-Mama katika kupata huduma ya kujifungua wakati wa uzinduzi wa Mfumo
wa Kurahisisha Usafiri wa Dharura kwa Mama Wajawazito na Watoto wachanga wa M-
Mama kwa Mkoa wa Arusha uliofanyika katika Hospitali ya Mount Meru
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha
Power (wa kwanza kulia) katika picha ya pamoja na watumiaji wa Mfumo Mfumo wa
Kurahisisha Usafiri wa Dharura kwa Mama Wajawazito na Watoto wachanga wa M-
Mama kwa Mkoa wa Arusha akiwemo Nesi, Mama aliyejifungua pamoja na Dereva
wakati wa Uzinduzi wa Mfumo huo kwa Mkoa wa Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Mfumo wa Kurahisisha Usafiri wa Dharura
kwa Mama Wajawazito na Watoto wachanga wa M- Mama kwa Mkoa wa Arusha
uliofanyika katika Hospitali ya Mount Meru.
No comments:
Post a Comment